1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mfahamu Leticia, msichana muelimishaji vijana kuhusu ukimwi

04:59

This browser does not support the video element.

27 Oktoba 2023

Leticia Richard ni msichana ambaye anatoa elimu ya maambukizi ya virusi vya ukimwi kutokana na kuona kuwa vijana wanahitaji elimu hii licha ya baadhi yao kutomuelewa katika hiki anakifanya lakini matarajio yake ni kuwa ifikapo 2030 anatamani kuona kuwa hakuna maambukizi mapya ya virusi vya ukimwi. #msichanajasiri

Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Picha: Hawa Bihoga/DWPicha: Hawa Bihoga/DW

Msichana Jasiri

Kipindi hiki kinakupa fursa ya kusikia ujasiri wa msichana na mchango mkubwa anaoufanya katika jamii. Msichana Jasiri ni muwazi, ana upendo na yuko tayari kujitoa kuwahudumia wengine. Ni shujaa!

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW