1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mfahamu mbunifu wa kiti mwendo cha umeme Tanzania

03:23

This browser does not support the video element.

21 Julai 2023

Joseph amekuwa akijishughulisha sana na ubunifu wa vifaa vyenye msaada kwa wagonjwa na wenye uhitaji maalumu. Sasa amefanikiwa kutengeneza kiti mwendo kinachotumia umeme wa kawaida rafiki wa mazingira. #Kurunzi

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW