1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mfalme wa Rwenzururu akamatwa

28 Novemba 2016

Mfalme mmoja wa jadi amekamatwa Uganda baada ya wanamagmbo wake kupigana na polisi ambapo watu wasiopungua 62 wamekufa. Mfalme Charles Wesley Mumbere amekuwa akimpinga Yoweri Museveni kwa miaka mingi.

Ramani ya Uganda

J2.28.11.2016_ RUWENZORI- RUBEGA - MP3-Stereo

This browser does not support the audio element.

Kumetokea mapigano  mwishoni mwa wiki katika eneo la Ruwenzori, Magharibi mwa Uganda, wilaya ya Kasese, ambapo zaidi ya watu 60 hadi sasa inasemekana wameuawa, 14 miongoni mwao wakiwa ni askari polisi. Hayo yanatokea wakati mfalme wa Ruwenzoriri akiwa amezuiliwa na polisi sehemu isiyojulikana. Isaac Gamba amezungumza na mwandishi wetu wa Uganda, Emmanuel Lubega, kupata maelezo zaidi juu ya mkasa huo.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW