Mfanyabiashara wa Rwanda asiyekata tamaa12.11.201512 Novemba 2015Serge Ndekwe ana umri wa miaka 35. Alirejea Rwanda mwaka 1994 akiwa na umri wa miaka 14. Wazazi wake walikuwa wamekimbilia Kongo. Alianza biashara ya simu, akafungua maduka kadhaa ya dawa na leo anamiliki migahawa mitatuNakili kiunganishiPicha: DWMatangazoMfanyabiashara wa Rwanda asiyekata tamaa02:57This browser does not support the video element.