JamiiAfrikaMgahawa juu ya jiwe la baharini Zanzibar02:45This browser does not support the video element.JamiiAfrika23.07.202023 Julai 2020Licha ya udogo wake, mgahawa huu uliojengwa juu ya jiwe lilo baharini ni eneo linalovutia wengi na pamekuwa chanzo kikubwa cha ajira kwa wageni na wenyeji wa kisiwani Unguja, Zanzibar.Nakili kiunganishiMatangazo