1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mgao wa umeme Tanzania waathiri shughuli za kiuchumi

03:26

This browser does not support the video element.

Veronica Natalis
20 Februari 2024

Naibu Waziri wa Nishati nchini Tanzania Judith Kapinga amesema changamoto ya mgao wa umeme itaisha rasmi mwezi wa tatu mara baada ya mtambo namba 9 kwenye mradi wa Bwawa la Julius Nyerere wenye uwezo wa kuzalisha megawati 235 kufanyiwa majaribio na mwingine utajaribiwa mwezi wa Machi. Bwawa hilo litaongeza megawati zaidi katika gridi ya taifa.

Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW