1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mgomo wa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

18 Aprili 2007

Maelfu ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wamesimamishwa masomo kuanzia leo jioni kutokana na kugoma kuingia madarasani kwa siku mbili mfululizo.

Wanafunzi hao waligoma kuingia madarasani kuanzia jana wakiishinikiza serikali kuwapatia mikopo juu ya asilimia mia moja.

Zaidi anaripoti mwandishi wetu Badra Masoud kutoka Dar es Salaam.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW