1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka 100 ya wanawake kupiga kura Uingereza

6 Februari 2018

Ni miaka 100 tangu wanawake Uingereza walipopata haki ya kushiriki siasa ikiwa ni pamoja na kupiga kura. Baada ya Uingereza kubadili sheria zake, nchi nyingi zilifuata na kuruhusu wanawake kupiga kura.

Wapogania haki za wanawake Uingerez
Picha: Getty Images/Hulton Archive

J3.06.02.2018_ 100 yrs for Women Rights into Politics- Interview- Mongela - MP3-Stereo

This browser does not support the audio element.

Je tangu wakati huo ushiriki wa mwanamke katika nyadhifa za maamuzi kisiasa ukoje? Kuhusiana na hilo DW imezungumza na Gertrude Mongela  ambaye mwaka 1995 alikuwa Katibu Mkuu wa mkutano wa dunia wa wanawake uliofanyika Beijing, China.