SiasaMiaka 32 ya uongozi wa Museveni26.01.201826 Januari 2018Rais wa Uganda Yoweri Museveni amewataka Waafrika kuachana na ukabila katika sherehe za kuadhimisha miaka 32 tangu vuguvugu la NRM pamoja na waliokuwa waasi wa NRA walipopindua utawala wa Tito Okello Lutwa mwaka 1986.Nakili kiunganishiIchaguwe DW kwenye GooglePicha: picture-alliance/dpa/I. LangsdonMatangazoJ3 26.01 Uganda: Museveni on Africa economic patriotism - MP3-StereoThis browser does not support the audio element.