Miaka 47 ya Mapinduzi, Zanzibar
12 Januari 2011Matangazo
Itakumbukwa kwamba karibu miezi minne baadae, Zanzibar ikaungana na iliokuwa Tanganyika kuunda ile inayoitwa hivi sasa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Sikiliza mahojiano kati ya Halima Nyanza na Profesa Abdul Sharrif, mchambuzi wa masuala ya historia na siasa, visiwani humo na kwanza anaelezea maoni yake juu ya umuhimu wa mapinduzi hayo.
Mwandishi: Halima Nyanza Mhariri: Mohammed Abdulrahman