Miaka 49 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
26 Aprili 2013Matangazo
Siku kama hii mwaka 1964 ndipo ulipozaliwa Muungano wa mataifa hayo mawili chini ya waasisi wake Marehemu Abeid Amani Karume pamoja na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Sudi Mnette amezungumza na Bw. Khamis Abdallah Ameir ambaye alikuwepo katika baraza la mapinduzi la Zanzibar na alikuwa ni miongoni mwa walioshiriki wakati wa maridhiano ya muungano huo na kwanza tulitaka kujua yeye binafsi siku hii inamkumbusha nini? Kusikiliza mazungumzo hayo pamoja na maoni ya wananchi, bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri: Mohammed Khelef