Miaka 50 tangu kujengwa ukuta wa BerlinLiongo, Aboubakary Jumaa13.08.201113 Agosti 2011Ujerumani leo inaadhimisha miaka 50 tangu kujengwa kwa ukuta wa Berlin. Maadhimisho yanafanywa Berlin kwa kufunguliwa makumbusho ya wale waliyopoteza maisha yao, wakati walipokuwa wakijaribu kuuvuka ukuta huo.Nakili kiunganishiUjenzi wa ukuta wa Berlin ulianza Agosti 13,1961Picha: picture alliance/dpaMatangazo