1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Uhuru wa vyombo vya habariUjerumani

Miaka 70 ya shirika la utangazaji la DW

04:38

This browser does not support the video element.

11 Mei 2023

Ilianza kama programu ya redio ya kimataifa ya lugha ya Kijerumani; hii leo ni shirika la kimataifa linalotumia njia mbalimbali, likiwafikia watumiaji kwa lugha 32. Mei hii DW inaadhimisha miaka 70 ya kuasisiwa.