Miaka minne ya chama cha CNDD-FDD madarakani nchini Burundi
26 Agosti 2009Matangazo
Kuidurusu miaka minne hiyo, Othman Miraji alimpigia simu punde hivi Karenga Ramadhan, mmoja wa waasisi wa chama hicho na aliyewahi kukamata wadhifa wa uwaziri katika serikali ya chama hicho. Alianza kusema mafanikio na kasoro za serikali ya sasa ya huko Bujumbura: