1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Michuano ya AFCON 2024 yaanza Ivory Coast

01:52

This browser does not support the video element.

14 Januari 2024

Leo ni leo, asemaye kesho ni mwongo! Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2024 inang’oa kuanzia leo Jumamosi. Wenyeji Ivory Coast watacheza mechi ya ufunguzi na Guinea-Bissau katika uwanja wa Alassane Ouattara, mjini Abidjan. Michuano hiyo itaendelea hadi Februari 11. Je, unashabikia timu gani ya taifa?

Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW