Mikataba ya utumiaji wa misitu nchini DRC yabatilishwa
8 Oktoba 2008Matangazo
Katika kuboresha hali ya mazingira huko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC), mikataba 156 iliyosainiwa miaka iliyopita kwa ajili ya utumiaji ya misitu ya Congo katika eneo la hekta milioni 20 imebatilishwa, hatua inayolenga kuboresha hali ya mazingira nchini humo.
Mwandishi wetu kutoka Kinshasa Salehe Mwanamilongo ametutumia taarifa ifuatayo.