1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Milingoti inayotengezwa kutoka kwa taka za Plastiki zaiokoa misitu Kenya

03:18

This browser does not support the video element.

23 Machi 2016

Lorna Rutto aliacha kazi ya benki kuanzisha kampuni ya Ecopost mwaka 2009 mjini Nairobi. Kampuni hiyo inatumia takriban tani 20 ya taka za Plastiki kila mwezi kutengeza milingoti