1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mitandao ya kijamii yawa eneo jipya la kutafutia wachumba

30 Novemba 2011

Kuibuka kwa mitandao ya kijamii kama Facebook, Twitter na Sykpe kumekuwa kichocheo kipya cha kujenga mahusiano ya kimapenzi miongoni mwa watumiaji wake, ambao wengi wao ni vijana katika mataifa yanayoendelea.

Facebook
FacebookPicha: facebook.de

Maryam Dodo Abdullah anachunguza nguvu na nafasi ya mitandao ya kijamii katika awamu mpya ya utafutaji wa uchumba na ujengaji wa mahusiano ya kimapenzi miongoni mwa vijana.

Makala: Maryam Dodo Abdullah
Mhariri: Othman Miraji

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW