AfyaAfrikaTatizo la unene uliopitiliza18:33This browser does not support the video element.AfyaAfrika20.04.202620 Aprili 2026Uzito kupita kiasi ni tatizo linaloongezka kwa kasi Afrika, likichangiwa na mabadiliko ya maisha, ulaji wa vyakula visivyo na lishe bora na watu kutofanya mazoezi ya mwili. Je unene huo wa kupita kiasi unaweza kuongeza hatari ya magonjwa?Nakili kiunganishiMatangazo