Mjadala wa Zanzibar ni nchi au si nchi25.07.200825 Julai 2008Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar SMZ imetoa kauli yake rasmi kufuatia tamko la Waziri Mkuu wa Tanzania Peter Mizengo Pinda kwamba Zanzibar si nchi.Nakili kiunganishiBandari ya ZanzibarPicha: DW /Maya DreyerMatangazoSuala hilo lilijitokeza bungeni mjini Dodoma mwezi Juni mwaka huu.Kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ibara ya tisa inayoeleza mamlaka yote yaliyomo. Mwandishi wetu kutoka Zanzibar Salma Said anaarifu zaidi.