Mjasiriamali wa viatu vya kifahari Ghana08.12.20158 Desemba 2015Kwa muda mrefu viatu vya kifahari vinavyotengenezwa kwa mikono vimechukuliwa kama kitu cha kipekee kwa wasanii wa mitindo wa Ulaya. Lakini sasa mwanamitindo kijana nchini Ghana huenda akaibadilisha dhana hiyo.Nakili kiunganishiPicha: DW/H. FischerMatangazoMjasiriamali wa viatu vya kifahari Ghana03:13This browser does not support the video element.