1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mji wa Libreville, Gabon

03:35

This browser does not support the video element.

16 Aprili 2020

Neno Libreville humaanisha 'Mji huru' na ndivyo ulivyo mji mkuu wa Gabon Libreville. Mnamo mwaka 1849, mji huo ulitangazwa kuwa mji wa watumwa walioachiliwa huru. Tangu wakati huo, Libreville imeendelea kukua huku mitaa yake ikijaa historia na tamaduni mbalimbali. Msanii Corail King anatutembeza katika mji wake

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW