1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mji wa Nairobi

03:42

This browser does not support the video element.

17 Aprili 2018

Mwanamuziki wa Kenya Octopizzo alikulia katika mtaa wa mabanda wa Kibera, na anajivunia hilo. Anampeleka mwandishi wa habari wa DW katika ziara ya mtaa wake na anaelezea mbona mji wake daima utakuwa sehemu ya utambulisho wake.