1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mji Wangu: Durban na umaarufu wake wa mchezo wa kuteleza

04:07

This browser does not support the video element.

6 Oktoba 2021

Karibu Durban, mji wa pwani ya Afrika Kusini ambaoo ni maarufu kwa fukwe zake na sehemu nyingine bora za kucheza na mawimbi. Waokoaji na walimu wa michezo hiyo Khayelihle Ngcobo na Alvin Mtatshi, wanatuonyesha maeneo maarufu ya pwani unaojulikana kama Maili ya Dhahabu. Fukwe nzuri na bahari ya hali ya joto mwaka mzima hufanya Durban kuwa mji mkuu wa mawimbi Afrika.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW