1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mji Wangu: Goma

04:35

This browser does not support the video element.

16 Agosti 2022

Mji wa Goma, katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo upo katikati ya volkano hai na Ziwa Kivu. Unapakana na Rwanda na hukumbwa na machafuko ya makundi yenye silaha katika kanda hiyo. Ni mji wa mshairi Ben Kemuntu, na hapa anakukutanisha na wakaazi wa Goma ambao wakati mwingine hukabiliwa na kitisho cha vita na mripuko wa volkano Nyiragongo. Fahamu mengi zaidi kwenye video hii ya Vijana Mubashara.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW