1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mji wangu: Maseru Lesotho

05:02

This browser does not support the video element.

25 Mei 2022

Chini ya mlima Maloti au milima ya Drakensberg kwenye mpaka na Afrika Kusini ndiko uliko mji mkuu wa Lesotho, Maseru. Mwanamuziki wa kufoka Morena Sway anauangazia mji huo wake ambao pia unafahamika kama mji wa ‘Mawe mekundu’. #VijanaMubashara #77Asilimia.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW