JamiiMji wangu: Serekunda Gambia04:02This browser does not support the video element.Jamii27.08.202027 Agosti 2020Serekunda ni kitovu cha utamaduni na uchumi wa Gambia. Mwanamuziki wa kufoka Ali Cham maarufu kama Killa Ace nchini Gambia anatutembeza katika mji huo wake. Je maisha ya vijana yakoje katika mji huo? Hebu tazama tupate kujua mengi.Nakili kiunganishiMatangazo