Mjumbe wa ZEC apinga uchaguzi kurudiwa ZanzibarElizabeth Shoo10.02.201610 Februari 2016Ayoub Bakari ni miongoni mwa wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wanaosema uchaguzi wa Oktoba ulikuwa halali kisheria na hivyo hauwezi kufutika. Msikilize katika mahojiano kwenye Kinagaubaga.Nakili kiunganishiPicha: DW/M. KhelefMatangazo[No title]This browser does not support the audio element.