Mkaa uliotengenezwa kwa kinyesi Nakuru
30 Agosti 2018Matangazo
Nia ya mradi huu ni kuhifadhi mazingira, kupunguza gharama ya matumizi ya mkaa na kuimarisha hali ya afya pamoja na usafi. Ni mradi ambao wadau wa kaunti ya Nakuru wanapanga kuupigia debe kote nchini kwa manufaa ya wengi. Mwandishi wetu kutoka Nakuru Wakio Mbogho ana taarifa zaidi.