JamiiMkenya ashamirisha migahawa Nigeria03:17This browser does not support the video element.Jamii09.03.20169 Machi 2016Mwanamke mfanyabiashara kutoka Kenya, Nasra Ali anataka kuwahamasisha wanigeria kuipenda ladha ya kahawa yao, na anaazimia kuendeleza kilimo cha kahawa akishirikiana na wakulima Mashariki mwa nchi hiyo.Nakili kiunganishiMatangazo