MichezoAfrikaMkenya Sawe akimbia marathon chini ya saa mbili00:49This browser does not support the video element.MichezoAfrikaJacob Safari27.04.202627 Aprili 2026Mkenya Sebastian Sawe amekuwa mtu wa kwanza kukimbia marathon chini ya saa 2. Alitetea taji lake la marathon ya London kwa muda wa aa 1 dakika 59 na sekunde 30. Nakili kiunganishiMatangazo