1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano mkuu wa AU kujadili ugaidi na fedha zinazoporwa Afrika

01:02

This browser does not support the video element.

Daniel Gakuba
2 Julai 2018

Wakuu wa nchi za Kiafrika wanakutana kwa siku ya pili nchini Mauritania, katika mkutano wa kilele wa Umoja wa Afrika (AU), ambao miongoni mwa mada nyingine, unajadili mkakati wa kurejesha raslimali za Afrika zinazoporwa na kupelekwa nje, pamoja na vita dhidi ya makundi ya itikadi kali.