Mkutano wa Benki za Posta Kisiwani Zanzibar14.05.200814 Mei 2008Mkutano wa 14 wa wakurugenzi wa benki za posta Afrika na taasisi ya benki za akiba duniani, WSBI, unafanyika visiwani Zanzibar.Nakili kiunganishiMji Mkongwe wa Zanzibar kunakofanyika mkutano wa Benki za PostaPicha: DW /Maya DreyerMatangazoAjenda kubwa katika mkutano huo ni kukuza na kuimarisha utumiaji wa huduma za kifedha, yaani benki, kwa wananchi wote , hata wa vijijini. Mwandishi wetu Salma Said ametutumia ripoti ifuatayo kutoka Zanzibar.