Mkutano wa COMESA mjini Nairobi,Kenya15.05.200815 Mei 2008Mawaziri wa biashara kutoka nchi 19 wanachama wa soko la pamoja la mashariki na kusini mwa Afrika COMESA wanakutana Nairobi Kenya.Nakili kiunganishiMji wa Nairobi kunakofanyika mkutano wa COMESAPicha: DW /Maya DreyerMatangazoMkutano huo ulikuwa ukitazamiwa kufanyika Zimbabwe mwaka huu lakini kutokana na hali ya kisiasa nchini humo umehamishiwa Nairobi. Mwai Gikonyo anaarifu zaidi.