1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa masuala ya maendeleo wa Umoja wa Ulaya mjini Stockholm,Sweden

22 Oktoba 2009

<p>Mkutano wa Umoja wa Ulaya ambao unazingatia masuala ya maendeleo na namna ya kuzikabili changamoto zilizopo umeanza leo Mjini Stockholm,Sweden.

Nembo ya mkutano wa maendeleo wa Umoja wa Ulaya unaofanyika mjini Sweden
Mkutano huo pia ukiangazia bara la afrika linavyoweza kuwa mshirika mwenza kwenye masuala ya maendeleo. Mkutano huo ambao umewaleta pamoja wajumbe wapatao 6,000 pamoja na watu mashuhuri wapatao 600, unajadilia masuala ya msingi ikiwemo, suala la ukaazi halali kwa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya, mabadiliko ya hali ya hewa na msuko suko wa uchumi ulioikumba dunia katika siku za hivi karibuni.

Mwandishi wetu kutoka Tanzania, George Njogopa anahudhuria mkutano huu na ametutumia taarifa ifuatayo:

Insert:

Mwandishi: George Njogopa

Mpitiaji: Grace Patricia Kabogo

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW