Mkutano wa SADC wamalizika mjini Dar es Salaam,Tanzania
31 Julai 2007![Jiji la Dar es salaam, kulikofanyika mkutano wa SADC](https://static.dw.com/image/2440269_800.webp)
Matangazo
Maswala hayo ni pamoja na mgogoro wa kisiasa unaoiukumba Zimbabwe, nchi zingine zilizojadiliwa ni Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo pamoja na Lesotho.
Mwandishi wetu Christopher Bhuke anaripoti zaidi kutoka Dar es Salaam.