Mkutano wa Umoja wa Afrika na Ulaya kuhusu usalama unaofanyika Addis Abeba
18 Aprili 2007
Umoja wa Afrika kwa ushirikiano na Umoja wa Ulaya umeandaa mkutano wa siku tatu mjini Addis Abeba, Ethiopia unaolenga kutafuta mkakati wa pamoja kwa ajili ya kupunguza athari za mabomu ya kutegwa ardhini na kuenea kwa silaha ndogo ndogo barani Afrika.
Matangazo
Mwandishi wetu Anaclet Rwegayura kutoka Addis Abeba anaripoti zaidi.