Mkutano wa UNDP mjini Kongo Brazaville26.04.200726 Aprili 2007Mkutano wa mwaka wa Umoja wa mataifa juu ya maendeleo ya kudumu barani Afrika umefanyika mjini Kongo Brazaville.Nakili kiunganishiMatangazoMkutano huo wa siku tano ulifunguliwa na naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bibi Asha Rose Migiro. Mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo anaripoti zaidi.