Mkutano wa Waandishi wa Habari mjini Kinshasa
23 Oktoba 2012Matangazo
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila ameitolea wito Rwanda ikome kuwa kile anachokiita "kijana mbaya" wa kanda la maziwa makuu. Rais Kabila aliyasema hayo alipokutana na waandishi wa habari kutoka Uganda mjini Kinshasa. Leylah Ndinda na taarifa hiyo.
(Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi Leyla Ndinda
Mhariri Yusuf Saumu