1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa wahamiaji haramu Arusha

5 Agosti 2016

Nchi za Afrika Mashariki na pembe ya Afrika zimelaumiwa na shirika la kimataifa la uhamiaji IOM kwa kuwanyima haki wahamiaji wanapokimbia mataifa yao kutokana na matatizo ya kisiasa au kiuchumi.

Mkutano wa IOM Arusha
Picha: DW/C. Ngereza

[No title]

This browser does not support the audio element.