1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa wataalam wa kiuchumi nchini DRC

11 Septemba 2008

Kumeundwa mfuko wa fedha kwa ajili ya kukabiliana na tatizo la njaa na kuboreshwa kwa sekta ya kilimo kwenye eneo la Afrika ya kati.

Mji wa Kinshasa DRC, palipofanyika mkutano wa kiuchumiPicha: Alexander Göbel

Mkutano wa siku tatu wa wataalam wa kiuchumi na wawekezaji wa sekta ya kibinafsi kutoka kwenye mataifa 11 ya jumuiya ya kiuchumi ya mataifa ya Afrika ya kati walikutana mjini Kinshasa ambako walizungumzia changa moto ya kiuchumi katika nchi za kiafrika.

Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.




Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW