Mkurugenzi wa shirika la chakula na kilimo la Umoja wa Mataifa, FAO, bwana Jacques Diouf, ameitolea wito nchi ya DRC ibadili mfumo wake wa kilimo ili kuweza kukidhi mahitaji ya chakula kwa ajili ya raia wake.
Matangazo
Kiongozi huyo wa shirika la FAO ameyasema hayo akiwa ziarani mjini Kinshasa.
Mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo anaarifu zaidi kutoka Kinshasa.