1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkuu wa wilaya ambaye ni mfano kwa wasichana, Jokate Mwegelo

02:54

This browser does not support the video element.

3 Aprili 2019

Jina la Jokate Mwegelo si geni nchini Tanzania na hata katika nchi za Afrika Mashariki. Kando na kuwa mkuu wa wilaya akiwa na umri mdogo, msichana huyu pia amewahi kuwa mtangazaji wa redio na pia mwanamuziki. Kazi yake ya sasa ya kuwa mkuu wa wilaya ya Kisarawe imemweka katika nafasi ya kuwa mfano wa kuigwa na vijana. Kurunzi inamulika juhudi zake, changamoto na namna anavyowahamasisha vijana.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW