Mkuu wa zamani wa majeshi ya Komoro aachiwa huru
2 Novemba 2012Matangazo
Luteni Ayuba aliuwawa Juni 30 mwaka wa 2010. Uamuzi wa mahakama umetolewa usiku wa manane wa kuamkia leo (01.11.2012) katika kesi iliochukua zaidi ya saa 34. Mwandishi wetu mjini Moroni AbdulRahman Baramia ana ripoti kamili
(Kusikiliza ripoti bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi:Abdulrahman Baramia
Mhariri:Mohammed Abdul-Rahman