SiasaMlima Eldonyo Lengai wafuka moshi03:09This browser does not support the video element.SiasaSaumu Mwasimba11.05.201811 Mei 2018Wamaasai wameingiwa na khofu kufuatia moshi unaofuka katika mlima Eldonyo Lengai wanaoutumia katika kufanya ibada na matambiko muhimu ya kiimani.Wanasayansi tayari wameonya kuhusu kitisho cha kutokea mripukoNakili kiunganishiMatangazo