Brazil yashambuliwa kabla ya mkutano wa G20
14 Novemba 2024Matangazo
Naibu gavana wa Brasilia Celina Leao amesema taarifa za awali zinasema kwamba lilikuwa tukio la kujitoa uhai na lilitokea muda mfupi baada ya mlipuko katika gari aliloonekana akitokea mtu huyo.
G20 yakubali kuunga mkono juhudi za kupambana na upotoshaji
Katika taarifa, Mahakama ya Juu ya Brazil imesema milipuko hiyo ilitokea baada ya kikao cha mwisho cha mahakama na kwamba majaji waliokolewa salama.
Mahakama hiyo ya juu iko karibu na kasri la rais ingawa Rais Luiz Inacio Lula da Silva hakuwepo wakati wa tukio hilo.