SafariKenyaMmaasai anaetumia kamera kuhifadhi wanyamapori04:22This browser does not support the video element.SafariKenyaHawa Bihoga21.08.202321 Agosti 2023Ambrose Letoluai ni mfugaji na mpiga picha mwenye talanta. Kwa picha zake za kuvutia za wanyamapori kutoka katika eneo lake, mtafiti huyu anatoa elimu juu ya wanyama na viumbe wengine kama ndege ambao wako hatarini kutoweka.Nakili kiunganishiMatangazo