1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

MONUSCO yazungumzia mzozo nchini DRC

01:35

This browser does not support the video element.

20 Novemba 2020

Mvutano unaongezeka kati ya vyama vikuu viwili huko DRC - CACH ya Rais Félix Tshisekedi na FCC ya mtangulizi wake, Joseph Kabila. Ujumbe wa amani wa Umoja wa Mataifa wa Monusco unajaribu kupatanisha, kama mkuu wa ujumbe huo, Leila Zerrougui, anavyosema katika mahojiano ya DW.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW