1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Moto uliounguza nyumba ya ghorofa tano haujasababishwa na chuki dhidi ya wageni

9 Agosti 2005

Watu wanane,miongoni mwao wakiwemo watoto wanne wemeuwawa baada ya nyumba yao kushika moto katika mtaa wa Moabit mjini Berlin.Waziri wa mambo nya ndani wa jimbo la Berlin Ehrhart Körting amesema haionyeshi kama moto huo umetiwa kwasababu za kisiasa au chuki dhidi ya wageni.Wageni wengi wanaishi katika nyumba hiyo ya ghorofa tano.Hapo awali polisi walisema huenda moto huo umetiwa makusudi.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW