1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Moto wateketeza mali soko la Karume kwa mara nyingine

02:44

This browser does not support the video element.

8 Aprili 2022

Ikiwa ni siku kadhaa tangu kuzuika kwa moto katika soko la Kariakoo na Karume jijini Dar es Salaam, moto mwingine umezuka na katika soko la Karume na kuteketeza mali, jeshi la zimamoto na uokoaji waendelea na uchunguzi ili kubaini chanzo cha moto huo ulioharibu mitaji ya watu.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW